GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Sunday, July 21, 2013

Maskauti wa Manchester United wavamia Barcelona kumalizana juu ya Fabregas....Soma hapa





Klabu ya Manchester United  haijakata tamaa kumleta Cesc Fabregas katika klabu yao.
Moyes alisema jana kuwa bado wanafanya jitihada za kumnyakua kiungo huyo wa Barcelona ambae taarifa zinasema hana mpango wa kuondoka.
Na jioni hii taarifa zinasema United wametoa ofa ya pauni miliono 30 kwa Barcelona ili kumnasa kiungo huyo, kwa mujibu wa Sky news ingawa makamu rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu , amesisitiza kuwa Cesc hauzwi.

No comments:

Post a Comment