HUYU NI DJ CHOKA NA NI DJ WA WASANII KIBAO BONGO ILA KWA SASA OFICIALLY
NI DJ WA MSANII ROMA LAKINI MWANZO WA SAFARI YAKE NI KAKA YAKE WA TUMBO
MOJA PROF.JAY NDO ALIEMUINGIZA NA KUONYESHA NJIA YA SANAA HII
LEO NI BONGE LA MTU NA NAFANYA VITU VINGI TU KWA AJILI YA SANAA
KUNA SABABU NYINGI ZILIZOMFANYA AJICHORE JINA LA KAKA YAKE!!!
No comments:
Post a Comment