GENERATION OF LOVE UNIT

GENERATION OF LOVE UNIT
GENERATION OF LOVE@2013

Monday, July 29, 2013

Baba wa miaka 32 amchija mwanae kisha kumnyonya damu,, bonya hapa usome kujua zaidi



Mwanaume wa miaka 32 mkazi wa nyanchwea jimbo la kisii , Kenya, amuua mwanae mwenye umri wa miaka 2 kwa kumkata kata kisu na kisha kumyonya damu yake, kuna tetesi kuwa jamaa huyo alimpata mtoto huyo nje ya ndo, na alikuwa ameshamwambia mkewe wamuue kwa muda mrefu.
inasemeka mwanaume huyo alikuwa anajiihusisha na biashara haram ya uuzaji wa bangi inayotoka Tanzania. Mwili wa marehem umehifadhiwa hospitali.

VIDEO KWA USIMAMIZI WA DJ Fety (angalia video upande wa kulia chini)

No comments:

Post a Comment